Elections 2010 Kikwete kukutana na wanahabari

JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv.

NOTE: Waandishi kupata mwaliko maalumu.

Si ndio yale yale tu waandishi wanaandaliwa pilau au Chai na mayai Ikulu wakishakula wameshiba halafu wanashikishwa bahasha na baada ya hapo wale vizabina zabina ndio wanakuwa wamesha andaliwa na maswali ya kuuliza (leading questions). Halafu JK anafanya usanii tu wa kuita majina wee fulani hapo eeh swali lako linasemaje...inakuwa mambo yote kama mchezo wa kuigiza vile.Ni usanii mtupu.
 
JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv.

NOTE: Waandishi kupata mwaliko maalumu.

Acheni kupotosha habari, JK ataulizwa maswali kwa njia ile ile ambayo Slaa alihojiwa.

Kikwete to hold televised debate in Dar tomorrow
 
Jamani huyu jamaa, anatafuta aibu...bora aache tu kwenda kwenye vyombo vya habari kuongea na watanzania kuhusu mambo ya uchaguzi...........................peoplez, chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, dr slaaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Good move for JK, amesubiri Slaa karopoka yote na sasa anaenda kupangua moja baada ya lingine. Kuanzia na cemnt na bati 5000 mpaka kukua kwa uchumi.

CHADEMA walijiamini JK hataenda kufanya interview na vyombo vya habari, hilo ni goli la kisigino.
 
Masaa mawili? Nahofu ata colapse

No man - itakuwa easy tu!

Mwaka 2005 alipokutana nao, walikuwa wanacheka cheka tuuu kila JK anapocheka. Wala hakuna aliyeuliza swali lolote GUMU. Nilihisi labda walipigwa mkwara kabla ya mkutano kwamba yeyote atakayeuliza swali zito, atakosa bahasha yake nono.

I hope this time hawatashawishika au kudanganywa
 

Haaaaaa na wewe umepewa mashwali nini? nahisi ni kweli hayo ndo maswali atakayopewa sasa NIKUMWANGALIA MDOMO WAKE TUU, UKITAKA KUMKAMATA MNAFIKI ANGALIA MDOMO WAKE UTAONYESHA KUWA MNAFIKI TUUUU!
 
good move for jk, amesubiri slaa karopoka yote na sasa anaenda kupangua moja baada ya lingine. Kuanzia na cemnt na bati 5000 mpaka kukua kwa uchumi.

Chadema walijiamini jk hataenda kufanya interview na vyombo vya habari, hilo ni goli la kisigino.
atasema nini kuwa hayawezekani!??? Hahhaha so fun!
 
jamani subirini basi musikilize anataka kusema nini? labda anataka kutangazia ulimwengu kwamba hatachakachua kura na yuko tayari kupokea maamuzi ya wananchi!
 
~ The election isn't very far off when a candidate can recognize you across the street ~
Kin Hubbard
 
Kwi kwi kwiiii siasa za CCM na JK kiboko. Yaani mtu mzima anawza itakuwaje iwapo atatakiwa kuhama Magogoni anatamani huu mwaka ungerukwa kwenye kalenda. Sasa amepata nafasi ya kuongea na vyombo vya habari siyo? kwi kwi kwiiiii
 
Ni bora tu nitafute kitu kingine cha kuangalia kuliko kuangalia usanii
 
Ajibu hoja zote alizotoa dr. Slaa kwenye mhahalo wake na itv - kama kweli yeye ni shujaa na amekusudia kweli kutetea nafasi yake ya urais ...........................otherwise kama ataongelea porojo zake za kila siku ......atazidi kujiaibisha sanaaa

aseme kama sio kweli yeye ni fisadi na anatetea mafisadi??? Aseme kama sio kweli alikwenda kunywa cha na obama wakati nchi inakwenda mrama? Aseme kama sio kweli alizikataa kura za wafanyakazi??? Etc. Etc.

Angalizo: Na daktari wake awepo..................kwani am sure - ataanguka tu - presha inapanda... Presha inashuka
 
Bado hana haja ya mdahalo ila amelazimika kuchukua airtime ili kujibu "matusi yaliyopitiliza" ya wagombea wa CHADEMA. Kumwambia anakumbatia mafisadi; watatoa elimu ya bure huku wakishusha kodi; sementi ya 5000; wataondoa shule za mbavu za mbwa huko Bwagamoyo; n.k. ni matusi yasiyovumilika. Lazima yajibiwe kwa data za uhakika. Vuteni Subra mshawishiwe na hoja za nguvu.
 

hivi wewe hujui kuwa mengi ni puppet wa kikwete??unajua kuwa kila siku anaonyesha filamu za wakimbizi ili kuwatisha wapiga kura wa vijijini???mengi hafai hata kidogo...kwanza ni mkwepa kodi
 
Jakaya Mrisho Kikwete ni mdhaifu kiakili na afya, hawezi jibu swali lolote....jaribu muuliza kwanini yeye anapenda sana mafisadi? EPA ziko wapi lazima atakuwa na kigugumizi
 
Masaa mawili? Nahofu ata colapse
Sijakuelewa ndugu acolapse kwa sababu zipi wakati hao alowaalika ni wanasisiemu wenzake na waganga njaa walio tayari wakati wowote kusaliti hata ndugu zao watanzania kwa kupotosha ukweli? Mfano mimi nilikuwa ni shabiki mkubwa sana wa Michuzi Blog lakini siku hizi nimesahau hata website yenyewe tangu kampeni zianze kutokana na madudu anayofanya kuibeba ccm kamwe sikutegemea kama angeweza siku moja kuja kusaliti watanzania kiasi hicho. Wengi wameshamdharau sana japo alijijengea heshima kubwa.
 
Atajibu maswali yeye ama bi Salma akisaidiwa na Kinana?
 
Najiuliza bila kupata jibu na naomba msaada wa jibu au hoja zenu wataalam. Hivi Jakaya Kikwete kuongea na wanahabari kesho ni kutokana na kuona manufaa aliyopata Dr Slaa kwa mdahalo wa wiki jana? au ilikuwa sehemu ya program ya kampeni?

Kama anreact kutokana na mambo ya Slaa, do we need reactive or proactive Leaders?

Nauliza kwa sababu toka mwanzo wa kampeni CCM walisema TV na midahalo sii sehemu yao na wanataka kuwafikia Wapiga kura kwa Jukwaa tu. Sasa vipi??
 
Hao wanatapatapa tu. Hawana mpango unaoeleweka. wanakurupuka tu na kukopi yote yanayofanywa na Chadema. Hawajiamini kwa lolote. Maskini ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…