Hana akili wala huruma huyu Mkwere. Anashobokea nyayo za binadamu wa kale badala ya kuangalia jinsi ya kutupunguzia makali ya maisha. Leo huku kwetu Sukari kilo 2,000 tshs na Unga wa ngano 1,500Tshs.... Tena tuko jijini... Je huko vijijini hali ikoje?? Jamani mkwere tuonee huruma watanzania tunakufa na hali ngumu tusijetukapata tamaa ya kukutoa kama iliyowapata wananchi wa misri