Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Hatazomewa wala kipigwa mawe hadharani ila atafanyiwa mambo hayo siku ya kupiga kura,kumbuka ya msafara wake kupigwa mawe usiku mkoani Mbeya
wapi Mungu kasema usipojisaidia hakusaidii, onyesha maandikoHata mungu alisema usipojisaidia hatoweza kukusaidia
Una uhakika wamechoka na maisha umefanya utafiti wako lini mkuu ? hao ni watanzania wa maeneo gani haswa wenye kukata tamaa kihivyo - wanaofikiri mitaa yao isafishwe na kikwete , watoto wao wasomeshwe na kikwete , yeye ndio awafanyie na kutekeleza majukumu yao kila siku ni watanzania gani hao naomba kujua .
Hata mungu alisema usipojisaidia hatoweza kukusaidia so as kikwete usipojisaidia na kuonyesha njia yeye hatoweza kusaidia
Mie naona hasira zote zielekezwe kwenye sanduku la kura tu....hapo itakuwa poa.
Dr.slaa the man of vision,mission and action,vote for him
Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao
mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada ya kuchoshwa na maisha haya??
Ni mstari gani vile unaosema usipojisaidia hatokusaidia? Nadhani Shy hapa umetudanganya hakuna mahali katika biblia au Quran ambapo Mungu amesema tujisaidie na yeye atusaidie. Kama upo tunaomba mtuwekee hapa.Una uhakika wamechoka na maisha umefanya utafiti wako lini mkuu ? hao ni watanzania wa maeneo gani haswa wenye kukata tamaa kihivyo - wanaofikiri mitaa yao isafishwe na kikwete , watoto wao wasomeshwe na kikwete , yeye ndio awafanyie na kutekeleza majukumu yao kila siku ni watanzania gani hao naomba kujua .
Hata mungu alisema usipojisaidia hatoweza kukusaidia so as kikwete usipojisaidia na kuonyesha njia yeye hatoweza kusaidia
Watanzania wamechoka na maisha kuwa magumu hawaoni direction ya maisha yao
mbeya walishaonesha ukomavu wao wakampiga JK mawe. Je watanzania katika kuelekea uchaguzi watamzomea na kupiga mawe baada ya kuchoshwa na maisha haya??
Kwa nini wampige mawe? hakuna sababu wala ya kumzomea, wamnyime kura zao wakitaka inatosha.
Una uhakika wamechoka na maisha umefanya utafiti wako lini mkuu ? hao ni watanzania wa maeneo gani haswa wenye kukata tamaa kihivyo - wanaofikiri mitaa yao isafishwe na kikwete , watoto wao wasomeshwe na kikwete , yeye ndio awafanyie na kutekeleza majukumu yao kila siku ni watanzania gani hao naomba kujua .
Hata mungu alisema usipojisaidia hatoweza kukusaidia so as kikwete usipojisaidia na kuonyesha njia yeye hatoweza kusaidia
Shy umenena vizuri, lakini cha msingi anatakiwa aongoze watu katika mwelekeo wenye kukidhi haja zao. siyo kama sasa kila mtu kawa mpenda hela, watu hawafanyi kazi zao bwana, nategemea JK kama kiongozi angekuwa ameshachukua hatua za haraka na kuweka mambo sawa, mfano ni mfumuko wa bei, watu kibao wanakaa vijiweni hao watu si angebuni ( toa assignment kwa wahusika ili watu washughulishwe). Tuna ardhi, tuna vitu kibao vya kufanya lakini tunasubiri wafadhili watufanyie kila. Tatizo linajulikana lakini viongozi wetu wengi wamekuwa wabinafsi sana.
unaleta siasa za chuki, huna maana. kwanini unahamasisha watu wampige kikwete mawe hata kama yeye si chaguo lako?
Maneno matupu hayavunji mfupa.
Kumtupia mawe mkuu wa nchi siyo jambo la busara.
Tumia nafasi yako kama mtanzania kupiga kura ya amani KIKWETE YES/NO na DR SLAA YES/NO.
Hapo utakuwa umeuridhisha moyo wako kwa amani.
Hasira hasara!!!!!!!!!!
Je ugumu wa maisha yao umeanza wakati wa kikwete? na kama siyo wakati wa kikwete walifanya nini mwaka 2005? Wambie hao wenye fikra za kuzomea na kupiga mawe kuwa wakitaka mageuzi wajitokeze kupiga kura. Vile vile hakuna rais atakaye wapelekea pesa majumbani au mifukoni kwao bila kufanya kazi. Tamaa ya pesa za haraka haraka ndiyo iliyowafanya hao jamaa wa mbeya kuishia kuchuna watu ngozi na kupigana nondo hovyo.