Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Kwa maoni yangu JK kafanya makosa kuchukua majukumu ya AU wakati Tanzania kunafukuta moto chini kwa chini
Hizi nafasi huwa zinatokea mara chache,(timing) kwa maana miaka kumi ya uongozi na mzunguko wa kupeana uenyekiti wa AU. si vibaya na yeye akawa katika historia ya AU.
Sidhani kama anaona kama kuna moto wa chini kwa chini unafukuta, angekuwa ameshareact kujaribu kuondoa hivyo vitu vinavyochochea.
sisi tuendelee kuweka majani makavu hadi kieleweke.
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na kusaidia juhudi za maendeleo za "nchi masikini" za Afrika.
JF members watch this space for updated information maana sio vyema kuweka wazi ziara za Vasco Da Gama ambaye this time ataambatana na admirer wa VDG - mheshimiwa sana Membe!
Kazi imeanza tayari!
Jamani wana JF, OUR PRESIDENT IS NOT THAT STUPID HE CAN NOT DO THAT, he has a lot to deal with at home!
Wacha utoto ndugu!! When are you finally gonna grow up?! Hebu tuambie lengo ya mada ya uchochezi na kejeli dhidi ya mheshimiwa rais kama hii? Unategemea ku-achieve kitu kama cha msingi with such far-fetched, speculative utumbo kama huu? You've gone way overboard ndugu! Heckling and demeaning the president in this uncouth fashion won't contribute to anything positive. Hii ni kubomoa na ku-demoralize na wala si kujenga.
Nadhani jina lako tu hapa linaamua kati yangu na wewe nani ni mtoto na anastahili kukua! Ninahakika kuwa wenye akili hapa wangependa kuona ukifungiwa au ubadilishwe jina
Nadhani jina lako tu hapa linaamua ugomvi wa kati yangu na wewe nani ni mtoto na anastahili kukua! Ninahakika kuwa wana ccm wenye akili hapa wangependa kuona ukifungiwa au ubadilishwe jina maana unaabisha chama chao kwa jina lako.
Otherwise, get ready for a long ride coz I am here to stay!
Ndugu naona unatumia "red herring" na vitisho vya kitoto vya kunifungia badala ya kujibu hoja. Hizi mada zako za kitoto za kumsuta Kikwete kila siku ni ishara ya jinsi ulivofilisika kimawazo. Kwa kifupi HUNA JIPYA!
Usianze kulialia sasa kama mtoto hapa, winter hii kuna upungufu mkubwa sana wa maziwa!
Ona sasa!! Kumbe hoja ulikuwa huna wewe! Lijimama lizima hovyooooo!!