Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye Mchakato wa kuandika Katiba mpya umechukua sura mpya baada ya Rais kuitisha wadau mbali mbali kupeleka majina ya watu wenye sifa ili awateue.
Source: Chanel Ten.
Kaka lini ulihitimu chuoni kwa marehem yahya husein?changa la macho hilo ndugu zangu ni kuondoa lawama tu ila watu amabao wana nia ya kutengeneza katiba safi hatawakubali, maana hata muswada ulivopelekwa na kupishwa kimizengwa haionyeshi kama kuna political will, anyway let's watch his move so closely!!
Kaka lini ulihitimu chuoni kwa marehem yahya husein?
Kaka lini ulihitimu chuoni kwa marehem yahya husein?
CHADEMA pelekeni Tundu Lissu peke yake.