Salva unaboa bana...... kumbe kuna domain ya Ikulu sasa yahoo ya nini tena aaah
lakini TBC1 si ndio wana host kipindi na wao ndio wanatakiwa kupokea maswali sio ikulu
je kwa nini isiwe swalikwaraisi@tbc1.go.tz, tbc1 hawana email au website
maana yake hii tbc.go.tz haifanyi kazi siku zote
Kumbe ikulu kuna email hiyo hapo. Kwa isitumike hiyo?????????????????DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425