Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 55
Akitaka akagombee urais Marekani,Zimbabwe,Sudan,au akawe rais wa Real Madrd.
Yes,Hasira zinaanza kulipuka taratibu.Watakiona cha mtemakuni,kama hataki aachie mamlaka!
Sasa naelewa kwa nini JKN alikuwa hachagui mtu wa Mara kuwa kiongozi wa mkoa wa Mara. Haya matatizo yangeepushwa Mbeya.
Aisee hii kali walevi wapige mawe msafara wa Mhe. rais! hii haijawahi kutokea. By the way, muungwana anapata ujumbe stahili siyo zile jumbe za Rweyemamu salva eti "atang'olewaje Rais mwenye mafanikio makubwa... anayependwa na wananchi... anayeng'ara duniani kote na kuigwa na Marais wengine! wapi bana!
Huyu Mwakipesile anajifanya mungu mtu?. Wananchi wa mkoa wa mbeya hawakutaki kwanini wasiseme?. Mwakipesile na kundi lake waachilieni vijana hao mara moja ama na wewe watoto wako hawatakwenda shule ama popote pale.
Tell them bwana,kwa hiyo kwa sasa muungwana anaanza kukosa amani katika nchi yake mwenyewe,hii hatari.
mbona hata zomea zomea nasikia inaendelea huko mby lakini watu hawaweki wazi kabisa sijui wanaogopa kufungiwa?
Na lazima ajutie ubia wa urais.
Samahani wana JF marekebisho kidogo nimefuatilia zaidi, walio umizwa ni watu wliokuwa kwenye msafara na waandishi na Salma amekoswa koswa gali lake limejeruhiwaKwa nini msafara wasafiri usiku?Halafu wanadanganya waliotupa mawe eti ni walevi,
Maana nasikia hadi gari la Salma Kikwete limevunjwa kioo na baadhi ya waandishi wamejeruhiwa
Samahani wana JF marekebisho kidogo nimefuatilia zaidi, walio umizwa ni watu wliokuwa kwenye msafara na waandishi na Salma amekoswa koswa gali lake limejeruhiwa
Kama na hili ni la kweli,bado hizi ni habari kwao.Wanachotakiwa kufanya ni kujumlisha tuu.Tarime + Mgomo wa walimu+ Muungwana kufanyiwa fujo +............... kwa sababu najua bado watanzania hawajaamua kuweka alama ya sawasawa,bado wanaendelea kujumlisha.Tutafika tuuu.
Msafara wa raisi ndio umevamiwa na kurushiwa mawe katika kurusha gari la raisi lilikingwa na magali ya wana usalama na mkewe yuko naye kwenye ziara hiyo kwa hiyo hayo mawe yaliyo rushwa hayaja lipiga gali la raisi ila wamepigwa baadhi ya watu wliokuwa kwenye msafara ndiyo maana nimesema gali alilo kuwemo Salim limejeruhiwa, maana yake mawe yalikuwa yanarshwa hovyo hovyo. Nadhani sasa umenielewaSasa hii ina maana gani,kwamba sio Rais aliyepigwa na ni mama Salma ndiye aliyekubwa na mkasa huu au vipi.....?
Embu kuwa wazi hapa.