Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hoja hujibiwa Kwa hoja!Hahahaha 😂.
Kila uchaguzi ni lazima kuna mwanachadema ama atauawa, kusingiziwa kesi, kutiwa ulemavu ama kupotea kabisa!Wanakimboilia kwenye kubambikia uhaini
Singida Manyoni Kijiji Cha Mkwese kiti Cha ubalozi nyumba kumi walikuwa kwa risasi kabisa!!
MUNGU anawaona adhabu Ipo mlangoni!!
Kabisa kabisa mkuu.Hoja hujibiwa Kwa hoja!
Ni wazi Samia sio Nyerere. Ila kama Mwinyi alijiona kichuguu mbele ya Nyerere, sijui Samia atakuwa nini basi?Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia.
Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
Makaburu weusi CCM wao wanajibu hoja kwa mabomu na risasi za polisi.Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia.
View attachment 3306058
Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.
Hii clip sijui hawajaiona!?Makaburu weusi CCM wao wanajibu hoja kwa mabomu na risasi za polisi.
Wanajitoa ufahamu tuHii clip sijui hawajaiona!?
Kama lile lililosema kuwa CHADEMA wanachangisha pesa ili wanunue virusi vya Mpox na Ebola!Wanajitoa ufahamu tu
Yaani CCM imekuwa kama kusanyiko la vichaaKama lile lililosema kuwa CHADEMA wanachangisha pesa ili wanunue virusi vya Mpox na Ebola!
Kuna wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa hotuba hii kuelezea masuala kadhaa ya demokrasia.
View attachment 3306058
Kama upo Team Lumumba na bando limekuishia usianze kujibu kama video hujaisikiliza.