ndugu jamaa na marafiki tafiti hazipigwi na maneno. zinapigwa na tafiti . najua wengi hamkutaka kusikia majibu ya tafiti yakiwa hivyo bt too bad ndo utafiti huo.70% wengine wote watapata 30% as in CHADEMA , CUF, TLP ,UDP,DP na wengine wote..........
Hiyo ndiyo hoja...tusikimbilie kulaumu tafiti za REDET bali tuimalishe UPINZANI kwanzaKwani uongo???,amini nakuambia kwa aina ya upinazni tulio nao Tanzania CCM watashinda hata zaidi ya hizo asilimia 70.....Utakuja niambia