Rais Jakaya Kikwete alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata picha ya kumbukumbu na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwaajili ya Afrika mjini Los Angels. Seagal pia ni mwandishi wa miziki na Mtengenezaji wa filamu.
inanipa wakati mgumuRais Jakaya Kikwete alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata picha ya kumbukumbu na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwaajili ya Afrika mjini Los Angels. Seagal pia ni mwandishi wa miziki na Mtengenezaji wa filamu.
hivi aliyepata bahati ya kupiga picha na mwenzie ni Rais Kikwete au Steven Seagal??!! next move itapendeza kama ikitokea "Rais Obama alikuwa miongoni mwa walibahatika kupiga picha na Kanumba (mcheza filamu wa kitanzania)!"
ah haaa haaaa.............
Kaaazi kwelikweli
Jamani hata kama humpendi JK, He is our President bwana. Steven Seagal amepata bahati ya kupiga picha na Danganyika President.
Hivi nani alitaka kupiga picha na mwenzake? JK au Seagal? Kama JK basi anatafuta ujiko kwa kampeni zijazo. Kweli tuna kazi, maana sijui kwa nini alipiga hiyo picha na jamaa.
Ukisikia uchokozi ndio kama huo..^^inamaana ilishindikana kabisa kumpata A LIST celebrity kama BRAD PITT?
Jamani hata kama humpendi JK, He is our President bwana. Steven Seagal amepata bahati ya kupiga picha na Danganyika President.