Habar zenu wana JF ; napenda niulize ni kiasi gani Rais wetu anayatazama haya yanayoendelea ktk nchi yetu kimsingi ncchi ambayo haina dini lakini watu wake wana dini,na wanaoiongoza kimsigi wana dini je kuna haja ya wanao takiwa kuiongoza hii nchi wasiwe na dini? ili kuondokana na swala la udini.