AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,036
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya Matukio, Mawaziri pia ni Vilaza, Hasa Waziri wa Fedha na Sheria ni Vilaza kuliko Bosi wao.
KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA USIONE AIBU KUNG'ATUKA TOOOOOKA HATUKUTAKI YOUR A LOOOSER
huogopi kupigwa ban,mtoto wake ana share hapa[/]
Lazima tuseme ukweli panapokuwa na ukweli, Kikwete nchi imemshinda kama Invisible ana share Ikulu basi anipigie BAN
<br />Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya Matukio, Mawaziri pia ni Vilaza, Hasa Waziri wa Fedha na Sheria ni Vilaza kuliko Bosi wao.<br />
<br />
<font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="red"><b>KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA USIONE AIBU KUNG'ATUKA TOOOOOKA HATUKUTAKI YOUR A LOOOSER</b></font></font></font>
unaposema kikwete nchi imemshinda,unakuwa umeangalia vigezo gan?,siasa,uchumi au kijamii,licha ya kuangalia ktk vigezo hvyo vitatu inatakiwa uchambue kimoja baada ya kingne tena ukiwa na data zilizo kamilika,sasa ukiibuka tu kama umetoka kulala vile watu wenye akili zetu nzima tunakushangaa tu tena tunakuona jinsi gan unapelekwa na ushabiki ktk maon yako,come down,rethnk the talk,halafu kwa nn mnakuwa mnatumia majina ya ajabu ajabu,et airtel,kama unajiamini display jina lako watu waone na kujua ww ni nan,achen nidhamu ya woga