mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
Mh rais JK kila mara anatembelea USA yaani ukihesabu idadi ya ziara zake USA na MBEYA au BUKOBA utaona USA ametembelea sana.kutokana na gharama za kufikia na kuishi hotelini kila Mara huko USA ni bora angejenga ikulu ndogo tu ili kupunguza gharama za hotelini