Elections 2010 Kikwete ni Golikipa aliyeuza timu kwa wapinzani!

Elections 2010 Kikwete ni Golikipa aliyeuza timu kwa wapinzani!

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
Ameuza timu toka kipenga cha kwanza kilipopulizwa. Ameruhusu magori kuingia hata pale alipotakiwa kudaka.
(i) Ameruhusu David Balali kukimbia nchi,
(ii) ameruhusu Andrew Chenge kuendelea kupeta mitaani na kuwa miongoni mwa viongozi wa chama pamoja na mgombea ubunge wa bariadi mashariki
(iii) Amewanadi Mramba na Rostam kwa ajili ya ubunge pamoja na tuhuma zote walizo nazo
(iv) Anawadanganya watanzania kuwa Lowasa alistaafu wakati alijiuzuru
(v) Ameshindwa kuwakamata wafujaji wa pesa za EPA, Meremeta na tangold
(vi)Amewakumbatia mafisadi ndani ya chama
(vii) Ameruhusu walanguzi wa umeme waendelee kutulangua kwa kisingizio cha gharama za uendeshaji
(viii)..............
 
Kweli wewe uneipenda ccm kama mimi mkuu naipenda ccm ila nachukia ufisadi tena kwa vitendo.
 
kweli mkulu katutosa. Hivi mbona hajaenda kwenda kumsalimia Obama?
 
Back
Top Bottom