Kikwete: Nikupe ua au nisikupeee...

Kikwete: Nikupe ua au nisikupeee...

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
Hapa mkuu anajaribu kushow love kwa wananchi wake...zawadi ya ua si ndogo...
 
Zimwi likujualo ...................
 
Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.
 
Safari hii ampe angalau ukuu wa wilaya. Credentials zake ziko juu kuliko akina mkwassa na wengine wengi aliyowapa posts kama hizo.

Ni kweli kabisa, dada yupo safi.Anastahili zawadi kubwa kuliko hilo ua. Namkubali dada Bhanji.
 
Ila JK anaoneka kashoka tangu uchaguzi uishe si kwenye hii picha ila kwenye TVs anapoonekana
 
Sintashangaa Kikwete akimteua SHY_ROSE kuwa mbunge kati ya vile viti vyake vilivyobakia!!
 
Back
Top Bottom