Itapendeza sanaNa huenda zuio lao likatenguliwa hivi karibuni..Tusubiri
Acheni upuuzi wenu.... mwenye macho haambiwi tazama....huo unafiki wenu pelekeni huko huko.....Kikwete huwa hazeeki. Ila huyu baba, Mungu ambariki sana...
Hivi hizi brand za bidhaa zinazozuka kila kukicha huwa wanatiliana maanani ubora na usalama wa watumiaji au ndiyo wanawaza fedha tu jamani! Mimi hii ''made in China'' huwa naiangalia mara kumi kumi kabla sijaingia kichwa kichwa. Bora nijikamue nitumia vitu vya kuamini hata kama ni ghali kuliko hizi bidhaa zinazomea kama uyoga.Kuna siku nilimsihi MwanaFA na wanamuziki wengine kufanya shughuli nyingine badala ya muziki pekee.
Nimefarijika leo kunitembelea na kutambulisha bidhaa yake mpya 'body spray'. Hii ni hatua kubwa na nzuri kwa vijana watu. Tuwaunganishe!
Ameandika Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter.View attachment 972296View attachment 972297
Sio john ?Nikiwa mkubwa ntakuwa kikwete tu
Sio john ?
Mkapa nilisoma habari zake humu kuna member aliandika kuaWasanii wanampenda kweli huyu baba,kwanini hawaendagi kwa mkapa?,au mwinyi?