JK kitabu chake kinatoka lini?
Issue ni kwamba wasanii bado wanenda ikulu iwe kusuluhishwa, iwe kwenda kupewa hela wakaimbe somewhere, vyovyote vile but bado wanaenda
Anaona mbali mno mbona hakuona hata karibu katika kutusukia mpango wa kupata mrithi wake? Bora hata angeruhusu Dovutwa awe yeye haya yanayotupata yasingetupataSio siri jamani jk ukimsikiliza kwa makini huyu mzee ana maono mazuli anaona mbali mnoo
Maneno ya huyu mzeee kwa watu wenye akili kuna vitu tumejufunza kuhusu maisha ya kwamba "majuto ni mjukuuu" huyu juma nature kama angetulia Leo hiii angekuwa mbalii mnooo
HahahahaSijui msanii gani ataitwa enzi hizi ikulu afu agome kwenda,jamaa atamcheki tu atasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Uhujumu uchumi utamuhusu mtu.
Si haraka mama, unakumbuka Nature enzi za Sonia 2002 mpaka nature wa kila siku za week 2010 ni miaka zaidi ya 8 mkuu,Sir Juma Nature ulipotea haraka sana
ukisoma unaona kuwa kundi lilimsaidia kuteka hisia za vijana alikuwa sahihi kufanya hivyo kuunyesha uungwana kwa watu walomsaidia huo ndio utuHua wanaenda kusuluhishwa wakigombana?
Una akili sanaukisoma unaona kuwa kundi lilimsaidia kuteka hisia za vijana alikuwa sahihi kufanya hivyo kuunyesha uungwana kwa watu walomsaidia huo ndio utu
Hahahaha
Hivi una kumbi miezi ya mwanzo wasanii waliambiwa nn?
Lakini juzi naona kawapa 100M ,hakuna wakukataa akitwa ikulu
Wala hata sihitaji kusoma sana kuelewa kwamba alichokifanya kilikua sio cha hadhi yake kama Rais wa nchi.ukisoma unaona kuwa kundi lilimsaidia kuteka hisia za vijana alikuwa sahihi kufanya hivyo kuunyesha uungwana kwa watu walomsaidia huo ndio utu
Ila hadhi ya rahisi ni kununua madafu na mapapai na kuyagawa mbn mnafanya cheo cha urais kama ufalme..Kila Rais anafanya jambo kwa utashi wale ili mradi havunji katiba isitoshe utashi upo kwa kila binadamu kwa huyu Pombe anayofanya yote yamebarikia na nani?Wala hata sihitaji kusoma sana kuelewa kwamba alichokifanya kilikua sio cha hadhi yake kama Rais wa nchi.
Soon patapandwa matunda kunigwa.Kabisa tena ile ya Ruaha mbuyuni
Ila hadhi ya rahisi ni kununua madafu na mapapai na kuyagawa mbn mnafanya cheo cha urais kama ufalme..Kila Rais anafanya jambo kwa utashi wale ili mradi havunji katiba isitoshe utashi upo kwa kila binadamu kwa huyu Pombe anayofanya yote yamebarikia na nani?
Hua wanaenda kusuluhishwa wakigombana?
Especially pale yule aliyewafunga anapokua amestaafu/hayuko madarakani tena.No, wakibaka watoto kipindi wanatoka jela ndio wanaenda kunywa chai.
Asa hadhi ipi unaona itakidhi ikiwa unabeza?Kwani wapi nimekwambia anayoyafanya Magu yamebarikiwa?
Hivi unajua kusoma kwanza?