Kikwete: Ravalomanana was revoluted!

Je semboja aliyesema 'Itikadi imezingatiwa' badala ya kusema 'itifaki imezingatiwa'. yeye siyo mwanasiasa itikadi na itifaki zote sawa tu.
 
Wengi wenu mngewekwa kwenye nafasi yake, mngeishia na kigugumizi na kujambajamba tu kwenye suruali.

Sema tu hutujui ndo maana unatucatgorize kama wengineo, ungejamba wewe, huku unashuhudia sisi wengine tukishine kwemda mbele kwa mbele.

Hili neno lipo, ila kalitumoia sivyo, sio mahala pake na sio maana aliyotaka iwe. angereplace na overthrown mbona ingekuwa rahisi, ni aidha ailikuwa anajaribu kuonesha umahiri wa lugha ama hakujua anachosema. Period!
 

Wewe umeng'ang'ania matumizi unayodai yasiyo ya "revoluted", na umeshindwa kuangalia at the bigger picture.


Atumie "overthrown" halafu siku mbili baadaye amwalike hasimu wa Ravalomanana, Andry Rajoelina Ikulu?

Halafu tupe basi credentials zako za Man of Letters in the English language? Umeshaandika vitabu vingapi kwa lugha ya Kiingereza?
 

Kwani hao waasi wanaoenda kunegotiate na serikali ya RDC wao wanitwaje? kwani wamepambwa kuwa ni wwaokoaji wa taifa? si wameitwa hivyo hivyo waasi!

And, rejea topic post yako utagundua kuwa it is not a matera of how many books I have written in English, haijalishi, and it does not change the fact, kama ni kosa ni kosa, using'ang'ane kuwa jamaa ana exposure, ohh sijui high profile meetings nyingi. A tounge slip is common. Think Big, Kikwete sio mwalimu wa Kiigereza, wala mtaalamu wa linguistic.
 

Neno ni sahihi but kikwete cant be a competent speaker of English compared to other presidents like Mkapa and Nyerere. His selection of different English lexical items into his speeches is facilitated by his state house public communication crew which normally prepare his speeches .
 

Hapo juu umedai
Sema tu hutujui ndo maana unatucatgorize kama wengineo, ...

Sasa nasema hivii, tupe bona fides zako ukiwa kama nguli wa lugha ya Kiingereza.

Umeng'ang'ania matumizi ya neno moja la Kiingereza at the expense of overlooking the whole raison d'etre ya Ravalamanana na Rajoelina meeting Kikwete in the first place.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…