Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Nov 2, 2010 #1 Kwa jinsi mwenendo mzima unavyokwenda wa swala zima la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na Urais, Tanzania itaongozwa na raisi aliyepatikana kwa nguvu ya dora na hujuma
Kwa jinsi mwenendo mzima unavyokwenda wa swala zima la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na Urais, Tanzania itaongozwa na raisi aliyepatikana kwa nguvu ya dora na hujuma
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Nov 2, 2010 #2 Muda si mrefu itafikia kikomo