Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Siamini kama Rais wa nchi anaweza kujibu hivyo anaonewa wivu???? ni lini JK ataamka aongoze nchi badala ya kuendekeza U-Vasco Da Gama???? anaona sifa eti nani ataenda kwenye mikutano,sasa nani anamfanyia kazi zake pale magogoni???? kama wanaweza iweje kwenye ruti ndo wasiweze!!!!!!
QUOTE]
JUZI MUSEVENI ALIPANDA ECONOMY CLASS YA BA TOKA MAREKANI....HUYU ANAENDA TENA NA WATU 60[OMBA LIST YA HAO WATU 60 FOREIGN UTACHEKA...WENGI WATAKUWA VICHECHE]...tutakumbuka ule mkutano wa mazingira wa mwisho ulifanyikaga BRAZIL..tanzania ilipeleka ujumbe mkubwa kuliko hata marekani..
amesema atapumzika mwanzoni mwa mwaka,
nadhani atarudi tena iringa kwa wakwe zake pale kwa asas maana ameoa pale majuzi.
huku iringa wanamwita shemeji wakwe wapo .
halafu naomba kusaidiwa hivi huyu jamaa huwa anawaona vipi hawa mabinti au kuna mtu anapiga pande? maana toto la kiarabu la mzee asas si chezo. aklidanganya taifa kuwa yuko mapumzikoni ruaha national park kumbe yuko ukweni!!!
MI NAWAMBIA HUYU TUTAMTUPIA MAWE AKIMALIZA KIPINDI CHAKE.
Aliahidi nafasi za kazi milioni moja....ziko wapi...??
Bora angemchukua na mama wa mipasho Sofia Simba nae akapime akili
Huzioni? Au unataka kuleta umbea tu humu?
Edson ni ya kweli haya? Tuliambiwa alikuwa Ruaha National Park watu hata hapa JF wakawa so anxious kwamba huenda this time atafanya maamuzi magumu kama rais. Cha ajabu kumbe alikwenda kuoa jamani mbona this is more than serious? Sasa si ndio watakuwa watatu sasa wandugu au? Maana tuliambiwa kuna mwarabu wa Bagamoyo/Dubai. Duh anyway kidini anarushusiwa mpaka wanne lakini huenda hawa wakawa sababu ya yeye kushindwa kudeliver kwani "what one does off the job determines how far he goes on the job"
ameomba kwanza akajadiliane na wenzake(akina makamba) sijua kama kutakuwa na majibu tofauti...mbali na kuwaita wehu.
Nadhani baada ya kuzurura sana na kubembea sasa angekaa nchini na kufanya majukumu ya maendeleo ya kitaifa, ukiwaletea wata maendeleo ndio watajua kama hao watu ni wehu au la.
na kakwambia ametoka kupima akili hapo na imekutwa iko sawa!!mi nadhani ndio mana wamemshauri apumzike baada ya mwaka mpya.Labda mimi sikuelewa kiswahili.
Rais JK kasema ktk jamii ndivyo ilivyo 15% watakupenda,15%watakuchukia hata ufanye nini, 70% wao wataangalia upepo unavuma vipi.
Hayo ndo kasema Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .