Something must be wrong with kikwete!
hahaha huwa nikiwa nataka kucheka najaribu kuingia jf maana watu humu wako na character za aina mbali mbali kutokana na majibu yao mweeh!.....it is very restaurante!....LOL!
Inabidi apewe course ya "handling the job pressure" maana naona sasa anashindwa kujibu hoja kwa namna nzuriLabda...
Lakini tujiulize, how do we behave under pressure?? Mheshimiwa amekuwa kwenye too much pressure kutokana na kuangushwa na waliomzunguka [kuanzia ikilu hadi mawizara]. kwakweli mimi namuombea afya tu maana pressure aliyonayo si ya kawaida kwa binadamu!!! tumeona Obama anavyostruggle sasa hivi na kila public address... Kikwete must be feeling the same pressure
Pole Mzee, lakini urais si lelemama na ndio maana;
ukigombea kisiasa,
utashinda kisiasa
na nchi utaongoza kisiasa,
tahamaki, urais si siasa!!!
Inabidi apewe course ya "handling the job pressure" maana naona sasa anashindwa kujibu hoja kwa namna nzuri
Nafikiri ile nafasi ya Pinda ampe Magufuli maana pinda kawa mpole sana, magufuli angewafagia hawa mawaziri wanao underperfomMkuu lile li-institution gumu sana, hasa kama anadelegate halafu hashiki fimbo... delegation na accountability ni kama sura mbili za shilingi
Awe mkali mkulu tuona raha, wanamchezea sana watendaji
Na Sadick Mtulya
"Kama nilivyosema kuwa nimedokezwa kidogo tu, lakini naomba muelewe kuwa huwezi ukamridhisha kila mtu kwani binadamu wamegawanyika katika sehemu tatu," alisema.
"Asilimia 15 watakupenda, asilimia 15 nyingine watakuchukia na asilimia 70 iliyobaki watabaki wanaangalia upepo unaelekea wapi hivyo tusubiri kuna maamuzi tutafanya," alisema Rais Kikwete.
.
So go do research...Kwa hiyo kwa mtazamo wa JK asilimia 70% ya wanadamu wanafuata upepo. Mmmmh, this is new to me !
Nafikiri ile nafasi ya Pinda ampe Magufuli maana pinda kawa mpole sana, magufuli angewafagia hawa mawaziri wanao underperfom
Labda...
Lakini tujiulize, how do we behave under pressure?? Mheshimiwa amekuwa kwenye too much pressure kutokana na kuangushwa na waliomzunguka [kuanzia ikilu hadi mawizara]. kwakweli mimi namuombea afya tu maana pressure aliyonayo si ya kawaida kwa binadamu!!! tumeona Obama anavyostruggle sasa hivi na kila public address... Kikwete must be feeling the same pressure
Pole Mzee, lakini urais si lelemama na ndio maana;
ukigombea kisiasa,
utashinda kisiasa
na nchi utaongoza kisiasa,
tahamaki, urais si siasa!!!
Ukiheshimu dini yangu na uislamu tutakuwa pamoja mkuuUkiacha UDINI naona una mawazo mazuri saana. Heshima kwa juu sana.
Hapa tuko pamoja. Nimekupa na Senkyu mkuu.
Ukiheshimu dini yangu na uislamu tutakuwa pamoja mkuu
K4,Tutawajibu wanaotusema!
Basi kama wataanza kujibu ni vizuri wakaanza kujibu ya Mwakyembe aliyoyasema kwenye hicho kikao!!
Kwa hiyo kwa mtazamo wa JK asilimia 70% ya wanadamu wanafuata upepo. Mmmmh, this is new to me !
Maneno yako ni sawa na tabia yako poleUnaona sasa wewe. Ukianza tu UDINI basi unakosa busara.
Nani kasema nadharau dini ya mtu? Je wewe unaheshimu dini yangu?
Ngoja niondoe na Senkyu zangu. Nilifikiri leo umekuja na busara. Haya tuendelee na mechi kama jana. Ntakufuata kama kivuli kila unapokwenda.
Ahhh, nimeamua kuanzia leo nipunguze POROJO. Nimegundua wengi humu wapo kupunguza ukiwa wa kuwa mbali na nyumbani. Rev Kishoka, itabidi tuanzishe kichemba kwa MEMBER ONLY juu ya watu wanaotaka kufanya mabadiliko kweli.
Senkyu zako naziacha na naachana na JF kwa asilimia kubwa saana kuanzia SASA HIVI: BYEE.