Kikwete: Tutawajibu wanaotusema!

Na Sadick Mtulya
"Asilimia 15 watakupenda, asilimia 15 nyingine watakuchukia na asilimia 70 iliyobaki watabaki wanaangalia upepo unaelekea wapi
Anamanisha 70% (85-15%) waliompa kula 2005 walifuata upepo yaani walifutwa tu na 15% ya wanamtando. it is interesting
 
Anamanisha 70% (85-15%) waliompa kula 2005 walifuata upepo yaani walifutwa tu na 15% ya wanamtando. it is interesting

Kumbe anajua wapo akina bendera kufuata upepo na wataendelea kuufuata huo upepo hata mwakani!
 
Nafikiri ile nafasi ya Pinda ampe Magufuli maana pinda kawa mpole sana, magufuli angewafagia hawa mawaziri wanao underperfom

Hata kama Pinda angelikuwa anataka kuwafagia mawaziri asingeliweza bila ridhaa ya Rais. Inategemea na mtazamo wa Rais wa hiyo underperformance na kama anaweza kusikiliza na kukubali mawaziri wafagiwe na Waziri Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…