Elections 2010 Kikwete ukijibu swali la huyu mwanafunzi nitakupa kura yangu

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
176

Naomba kikwete ujibu swali linaloulizwa na mwanafunzi ktk tangazo la polisi forum, mwanafunzi anamuuliza mwalimu baada ya uhodari wa mwalimu wa kutaka kuonyesha jinsi nchi yetu Tanzania ilivyobarikiwa madini ya kila aina, Mwalimu anaanza kwa kusema:

kanda za ziwa mikoa ya mwanza shinyanga na mara kuna madini ya dhahabu, ukija shinyanga kuna madini ya alimas, ukienda kanda ya kaskazini, mkoa wa Arusha kuna madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake, mwanafunzi ananyanyua mkono na kumuuliza mwalimu; mwalimu kama ndiyo hivyo kwa nini sisi ni masikini? kikwete ukiweza kumjibu mwanafunzi yule nakupa kura yangu

source TV & Radio stations from Tz

kikwete na wafuasi wako hebu mjibuni huyu mwanafunzi wa primary kabla wakubwa zake hatujauliza

atasema bado wawekezaji wanaendelea kutafuta hayo madini, unajua yapo chini sana ardhini, kwahiyo wakiyapata ndo watatoa mrahaba mkubwa serikalini, ha ha ha ha.....we usimpe tu kura yako.

hawezi kujibu na hataki kura yako.

Sio hawezi kujibu na hataki kura! Hana jibu, anaipenda kura yako lakini ndo hivyo afanyeje sasa Slaa ameitia mchanga!!

5.JPG
pencil.png

Naomba kikwete ujibu swali linaloulizwa na mwanafunzi ktk tangazo la polisi forum, mwanafunzi anamuuliza mwalimu baada ya uhodari wa mwalimu wa kutaka kuonyesha jinsi nchi yetu Tanzania ilivyobarikiwa madini ya kila aina, Mwalimu anaanza kwa kusema:

kanda za ziwa mikoa ya mwanza shinyanga na mara kuna madini ya dhahabu, ukija shinyanga kuna madini ya alimas, ukienda kanda ya kaskazini, mkoa wa Arusha kuna madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake, mwanafunzi ananyanyua mkono na kumuuliza mwalimu; mwalimu kama ndiyo hivyo kwa nini sisi ni masikini? kikwete ukiweza kumjibu mwanafunzi yule nakupa kura yangu

source TV & Radio stations from Tz

Mwanafuni katumwa kuchafua hali ya hewa

Mwanafunzi katumwa kuchafua hali ya hewa

'Sijui kwa nini watanzania ni masikini' hilo ndilo litakalokuwa jibu la Kikwete.

atasema ni kiherehere chetu cha kutaka umaskini

atasema ni kiherehere chetu cha kutaka umaskini na ndiyo maana watoto(wanafunzi wa kike) wankuwa na kihehere cha kupata mimba wakiwa shuleni.

JK anachojua ni kuwa hajui hata kwani watanzania walimchagua mwaka 2005!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom