Kikwete una moral authority na rekodi gani inayokupatia nguvu ya kuwafokea mawaziri?

Kikwete una moral authority na rekodi gani inayokupatia nguvu ya kuwafokea mawaziri?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,052
Reaction score
257
Wandugu,

Ninaudhika sana ninapomwona kikwete anawafokea watu wazima kama mawaziri hadharani; mbele ya waandishi wa habari. Yeye ana rekodi gani anayojivunia inayompatia nguvu ya kuwanyoshea wenzie tena hadharani? Hivi huyu jamaa uswahili ataacha lini??? Ananiuuuuuudhiiiiii, yaaani basi tu!!
 
Je chui anaweza kuibadilisha ngozi yake? hivyo hivyo na mswahili hawezi kuacha uswahili wake. People need to be careful next time they go to vote. We have ourselves voted for a social and economical decline; ten (10 ) good wasted years!!
 
Anadhani akifanya hivyo itamjengea heshima kwa umma ambayo imepotea kwa speed ya mwanga
 
Yeye ni mkuu wa nchi na hao wanawajibika kwake na hivyo pengine matendo yao yameamsha hasira....vilevile wananchi muda mrefu mmemwomba mh rais akasirike na kuacha kuchekacheka...he's done just that!
 
Hana rekodi yoyote zaidi ya ile artificial aliyopewa na waandishi wa habari aliowanunua. Hence, hana moral authority ni usanii tu.
 
Back
Top Bottom