Wandugu,
Ninaudhika sana ninapomwona kikwete anawafokea watu wazima kama mawaziri hadharani; mbele ya waandishi wa habari. Yeye ana rekodi gani anayojivunia inayompatia nguvu ya kuwanyoshea wenzie tena hadharani? Hivi huyu jamaa uswahili ataacha lini??? Ananiuuuuuudhiiiiii, yaaani basi tu!!