Kikwete V/S Mugabe - Tuache kuburuzana na suti za bei mbaya

jamani mbona kikwete katuna hivyo kwenye hiyo suti?
 
Ya pinda ni dizaini za kitaliano hizo.....i believe ndio expensive.....sisemi kuwa ya mkuuu wa kaya ni chipu vilevile.....zote hizo mbili zinaweza kununulia madawati shule nzima pale mwakinyumbi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…