Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Tuache kujiumauma,mara ngapi tumeshuhudia taratibu za UDSM zikivunjwa kwa maslahi ya watu flani wenye nafasi? Ishu ya UDSM in clear words is BABA RIZ1 @ WORK,mnaopenda kusema thibitisha,thibitisha,subirini ila ndo mtakavyoendelea kunyanyaswa ndani ya nchi hii
subiri bado wanakunywa juice ikulu,wakimaliza watakuja kuwatumia km mradi,si ndo wanaokudanganyeni?kama udom siku ile wakawazimia simu,teh.msichanganye siasa na masomo na pia msiache kupigania haki zenu eti mtaonekana mnachanganya siasa na elimu..hivi hawa cdm mbona hawaitishi maandamano kuwatetea wanafunzi?
Katika hali isiyokua ya kawaida UDSM imepoteza power of self determination ilihali inaongozwa na magwiji walobobea katika fani mbali mbali za kitaaluma. Maamuzi yanayotolewa hayazingatii tena uchambuzi makini unaolenga kutatua migogoro kisomi.
Ikumbukwe kwamba ni hivi majuzi tu mapach watutu i.e Mukandala, Maboko na Magaya wamepata ofa nyingine ya kuendelea na nafasi zao kwa miaka mitano zaidi.
Sina shaka na hili kwamba katika mikataba yao mipya imewekewa rundo la masharti ya kutofanya maamuzi yao binafsi yanayoendana na taaluma zao, bali kutekeleza ujuha unatoka magogoni kwa mh. JK.
Ndiyo maana kichwa changu nimekipa jina la kikwete VC mpya udsm maana ndiyo anashinikiza maamuzi ya kufukuza wanafunzi ovyo hasawale wanasimamia haki za wanyonge. pamoja na mambo mengine huyu mh. alizomewa alipoytembelea udsm kwenye maazisho ya miaka 50 hapo ndo kabisa akajenga chuki.
Hofu yangu ni kwa hawa wanataaluma,tena paprofesa wanashikwaje masikio na Kikwete?
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.
Jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, JK sio Illiterate. He is a graduate of the same University!
msichanganye siasa na masomo na pia msiache kupigania haki zenu eti mtaonekana mnachanganya siasa na elimu..hivi hawa cdm mbona hawaitishi maandamano kuwatetea wanafunzi?
VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.
uccm wako unakusumbua.unashindwa kushirikisha ubongo wako kidogo kutambua yanayotokea pale chuo.ulisoma wap?una tatizo la connection.ram yako haifanyi kazi.kikwete ni rais wa watanzania wote pamoja na nyie wenye chuki.wanafunzi wa udsm wanafukuzwa na tabia zao mbaya hapa hakuna haja ya kutafuta mchawi.
usitumie hasira kiasi hiki mkuu, hata kama una maslahi fulani jaribu kuficha hisia zako ili tusikujadili wewe, tujadili hoja na kujua ukweli wake.
Tetea hoja siyo kutukana kama mdomoni mwako kumejaa matusi hapa si mahali pake, na kama umetumwa hapa si mahala pa kusemea ulichotumwa, threads hii ni ya kiintelectual siyo ya kisiasa its better kupita tu kuliko hujaelewa unakurupuka kuchangia tena kwa maneno yasiyo na busara.VC wa ud ni mkandala,kikwete ni rais wa tanzania,acha chuki zako za kijinga.maamuzi yanayofanywa chuoni yanafanywa na bodi ya chuo.kikwete wala sio member sasa wewe huo ufuska wako wa mdomo usiulete hapa.