G Giddy Mangi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 830 Reaction score 184 Apr 20, 2011 #1 Hakika Jakaya ameishiwa kwanini vikao vya ndani na mawaziri wake kwenye tv inauma sana kwani wao hakuna walilofanya na wanaonyesha uchafu wake kwenye Kipindi anachokiita maalumu ikulu.
Hakika Jakaya ameishiwa kwanini vikao vya ndani na mawaziri wake kwenye tv inauma sana kwani wao hakuna walilofanya na wanaonyesha uchafu wake kwenye Kipindi anachokiita maalumu ikulu.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Apr 20, 2011 #2 ngoja tumuone naili tujue pumba ni zipi, kwa sababu hiki ni kivuli chetu na hatuwezi kutoka nduki