Kikwete visits TEF chairman Mr Absalom Kibanda in South Africa


yote hii kuhangaika ni GUILTY inayomsumbua na mbaya zaidi anafanya hivi sio kwa sababu ya kumuonea huruma kibanda NO bali anamtumia kibanda kusafisha image yake iliyochafuka kila mtu anajua kuwa yeye anahusika na haya yote kwahiyo anamgeuza kibanda kuwa victim mara ya pili. Mpaka leo hii viongozi wa dini wala wa kijamii hawajamuuliza kuhusu kauli ya DR.Ulimboka kuhusu maafisa wa ikulu waliousika na uhalifu aliofanyiwa huu ni unafiki mkubwa wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…