Elections 2010 Kikwete vs Wenje - Mwanza mjini

Nadhani hukumuelewa mwenzio kwani amemzungumzia Masha kuwa ndiye aliyecheza faulo hiyo na si Wenje.
 
Safiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................................................................................
majimbo yote yangefanya kama wanavyofanya Nyamagana mi ningekuwa natembea bila kuvaa
 
Kwa kweli mimi nimesoma mwanza pale saut,kiukweli masha hapendwi na wananyamagana,mwaka 2005 alishinda kwa sababu hakukuwa na mpinzani wa kweli na mwenye uwezo kama wenje,wenje ni classmate ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja kuliko lau,go wenje go mate,wanasaut na wahadhiri wooote kura kwa kijana wenje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…