Exaud J. Makyao JF-Expert Member Joined Nov 30, 2008 Posts 1,518 Reaction score 24 Feb 1, 2009 #81 Bubu Ataka Kusema said: Date::1/21/2009 Kikwete asimamisha ununuzi magari ya serikali Na Mwandishi Maalum, Pemba Mwananchi Click to expand... BABU, Vijembe ni sehemu ya siasa,
Bubu Ataka Kusema said: Date::1/21/2009 Kikwete asimamisha ununuzi magari ya serikali Na Mwandishi Maalum, Pemba Mwananchi Click to expand... BABU, Vijembe ni sehemu ya siasa,
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,861 Feb 1, 2009 #82 Ok ...Karibu Wete Click to expand... ...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' 😀, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe!
Ok ...Karibu Wete Click to expand... ...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' 😀, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 1, 2009 #83 Mbu said: ...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' 😀, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe! Click to expand... Nasikia Wete ni mji Mkuu na hiyo barabara ni kigezo cha hizo barabara zilizosifiwa au alipost ni mpinzani hataki tufaidike na hizo barabara tulizosifiwa?
Mbu said: ...kwa haraka haraka nilidhani Mlandege mitumbani, 'kwa- Kidishi' 😀, ila duh, uchakavu wa hayo maghorofa yatisha yakhe! Click to expand... Nasikia Wete ni mji Mkuu na hiyo barabara ni kigezo cha hizo barabara zilizosifiwa au alipost ni mpinzani hataki tufaidike na hizo barabara tulizosifiwa?