Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..
Kwa nini abadilike wakati amepata kile alichokuwa anataka? Kuendelea kuwatia umaskini Watanzania na kuigeuza Tanzania nchi ya kifalme. Kampeni yake kubwa sasa ni namna ya kumfanya Ridhiwani awe raisi. Hivyo atajenga hoja ya kubadilishwa katiba ili umri wa kugombea uraisi uwe miaka 21. Vilevile atapigana kufa na kupona ili Ridhiwani ateuliwe kuwa mgombea wa uraisi kupitia chama cha mafisadi. Na kutakuwa ni kipengele kingine kuwa baada ya Ridhiwani kuwa Raisi Tanzania itageuka kuwa nchi ya kifalme ambayo itajulikana Muungano wa Ufalme wa Tanzania (United Kingdom of Tanzania ) na Mfalme wake atakuwa Ridhiwani Kikwete. Hongera sana Mfalme Kikwete!
Jaji Makame choka ile mbaya; 2015 hafiki!!!!!!!!!
Question. Mr. President....... Why your country is so poor?
ANSWER. I actually don't know why is so poor.
Ya kweli? kubadilisha madini na vyandarua! Lol
Kama baba yake sio jamaa yakeHuyu GeniusBrain nadhani ana tatizo la Ugonjwa wa kuanguka hovyo kama jamaa yake.
Baba wa Taifa aliisha sema ' Kutakuwa na wagombea wengi wa URAIS ila Rais bora atatoka CCM' . CCM ipo na itakuwepo forever, wala msitegemee 2015 mtaichukua nchi hii jipeni moyo tu ila hicho kitu halipo mkuu, mtalia miaka yote mpaka mwingie kaburini. Na kiboko yenu Jaji Makame ataendelea kuwa MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI MUDA WAKE WAISHA 2016.