Ili ujue unafiki wa Waingereza na wenzi wao, walipokuwa wanamsifia na hatimaye kumpa uKnighthood, hayo ya Matebeleland yalishatokea na hawakusema lolote. Alipochukua ardhi na kuigawa, mbingu zikafunguka na sifa zake zikayeyuka.
Hawa watu watakupenda kama hutawazuia kutumbua vitu wanavyovitaka.
Kumkataa Mugabe hakuna maana ya kukataa kwamba Waingereza ni wanafiki.
Wote wanafiki, wote wanasiasa, hata Morgan naye ana unafiki wake kama alivyosema Willie Stark.Tunatafuta afadhali tu.
Hata kama uchaguzi ukifanyika tena kwa usalama, lakini kama MDC hawatashinda, basi matokeo yake hayatatambuliwa na wakubwa na vikwazo havitaondolewa.
kama ningekua mtu nisiyependa kusoma na kuskiliza history na current affairs ungeweza kuni-fool, but u cant do that, in 1997, a dollar was equivalent to 73 zim dollars, do yo know what happened next, go back to references to see what happened na chanzo cha proposal za structural programmes za IMF
For the first time in the history of Tanzania, our brothers in South Africa and Angola decided to boycot a gathering championed by Tanzania.
What does it tell us on our current foreign policy? Are we realy advocating for the region or we are driven by cheap fame and handouts?
Frankly, Kikwete and Membe are pushing our country into stooge foreign politics that are not compatible with our identity. It is unfortunate that even the charismatic MPs likes Zitto are supporting these ugly moves. We are in a pit, shouldn't we advise each other to stop digging instead of chearing the diggers?
Leaders boycott Sadc summit on Zimbabwe
Herald Reporters
Kubwajinga,
Tangu lini umeanza kusoma herald ya Zimbabwe? hilo gazeti ni kama Uhuru lile la CCM; unafikiri wataandika nini? Katika miaka yangu yote ya kusoma herald sijawahi kuona la muhimu. Kama umesoma hilo umewahi kusoma The Dailynews kabla halijafungiwa? Au Zim Online? Tuache ushabiki, the boy (Kikwete) on foreign policy is at best! Hawa kina Mbeki, mugabe, hata Dos Santos bado wamo kwenye usingizi na ndoto za upigania uhuru; that will go by time!
Thanks to who?
Kubwajinga,
Tangu lini umeanza kusoma herald ya Zimbabwe? hilo gazeti ni kama Uhuru lile la CCM; unafikiri wataandika nini? Katika miaka yangu yote ya kusoma herald sijawahi kuona la muhimu. Kama umesoma hilo umewahi kusoma The Dailynews kabla halijafungiwa? Au Zim Online? Tuache ushabiki, the boy (Kikwete) on policy is at best! Hawa kina Mbeki, mugabe, hata Dos Santos bado wamo kwenye usingizi na ndoto za upigania uhuru; that will go by time!
[I said:Kubwajinga;It is unfortunate that even the charismatic MPs likes Zitto are supporting these ugly moves. We are in a pit, shouldn't we advise each other to stop digging instead of chearing the diggers[/I]?
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?
yaani... hamjaona Spin iliyotokea hapo au hadi ikodoe macho. Hilo gazeti lilioandika hivyo ni la nani?
sasa hapa spin ni kwamba jamaa wanasema uongo kwamba wakuu walikuwa na bilateral au nini? jamaa hawekwenda mkutanoni naamini hiyo ni fact. sasa tafsiri ya huko kutokuhudhuria tunaweza tofautiana lakini ukweli unabaki pale pale
nao ni "mkutano haukuhudhuriwa na viongozi wote waliotegemewa/takiwa kuhudhuria"
Wenzetu wengine habari ni ile tu ya AP, BBC,NYT n.k. Badala ya kusoma na ku-weigh hiyo habari wanaangalia tu ilikotoka.
Africans urge Zimbabwe poll delay
BBC News
20:00 GMT, Wednesday, 25 June 2008 21:00 UK
President Robert Mugabe has vowed
to go ahead with Friday's vote
An emergency summit of southern African countries has called for Zimbabwe's run-off presidential election to be postponed because of recent violence.
The governments of Swaziland, Tanzania and Angola said conditions would not permit a free and fair election.
Former South African leader Nelson Mandela spoke in London of "the tragic failure of leadership" in Zimbabwe.
Meanwhile, the South African foreign ministry said about 300 Zimbabweans had sought refuge at its embassy in Harare.
A spokesman for the ministry told the BBC that the South African ambassador was in talks with the group, alleged to be MDC supporters, in an effort to resolve the situation.
Britain has also said it is to withdraw an honorary knighthood granted to President Robert Mugabe.
Mr Mugabe is the first foreigner to be stripped of the award since Romanian dictator Nicolae Ceausescu in 1989, the day before his execution.
US President George W Bush said the election planned for Friday appeared "to be a sham" because the opposition had not been able to campaign without fear of intimidation.
Time for action
Zimbabwe's opposition leader Morgan Tsvangirai had earlier urged intervention by the African Union and neighbouring states to resolve the country's political crisis.
The summit of southern African leaders urged the two sides to hold talks aimed at finding a compromise.
The time for actions is now, the people and the country can wait no longer - we need to show leadership
Morgan Tsvangirai
The statement followed a day-long meeting in the Swazi capital, Mbabane, of the three countries from the regional Southern African Development Community (Sadc) responsible for overseeing peace and security in the region.
The leaders said they were concerned and disappointed by Morgan Tsvangirai's withdrawal on Sunday from the vote.
But they said that holding the election under the present circumstances might undermine the credibility and legitimacy of its outcome.
They also said the people of Zimbabwe deserved a "cooling-off period".
The opposition Movement for Democratic Change (MDC), says some 86 of its supporters have been killed and 200,000 forced from their homes by militias loyal to the ruling Zanu-PF party. The government blames the MDC for the violence.
Asked what would happen if Mr Mugabe went ahead with the election, the leaders said: "Let's wait and see."
They said they had invited South Africa's President Thabo Mbeki, the regional mediator over Zimbabwe. Although he was absent, they said, he had briefed them by phone.
They insisted there were no divisions over Zimbabwe.