Kikwete's Stooge Foreign Policy?

Ni yeye Mugabe ndiye anataka kuonesha kuwa kuna kugongana katika SADC... hata viongozi wote wa SADC wangekuwepo angesema mbona "wake zao hawapo?"!

Mkuu MJJ,
Kama watu wamegomea mkutano hiyo siyo dalili ya mgawanyiko? Kikwete kaitisha kikao akajikuta yeye mwenyewe na kale kajamaa ka-poligamist na ni kwa vile ndio anaye-chair otherwise, ingekuwa tu Kikwete.

Angalia kwenye BBC wamepika kuwa Angola nao walikuwapo na Mbeki alishiriki kwa simu. Kitu tofauti na communique iliyotolewa. Kikwete kauparamia na sasa anatuaibisha.
 
Miye jana niliandika hapa kuonyesha kwamba hata SADCC JK hana respect kama asivyokuwa nayo ndani ya Tanzania. Huyo jamaa ni kichekesho kitupu. Hii ni ishara nyingine kwamba huyu jamaa hastahili kupewa awamu nyingine.

Mkuu umenichekesha kweli.

Imefikia hapa, lakini hata nyerere zamani alikuwa akisema, ukiona wazungu wanakufuata sana ujue una tatizo. Hili tumeliona kwa mkapa pia kwa JK sasa.

Mugabe analijua vizuri hili, hawa watu wa mataifa ya kizungu/kibepari hawakubendi hivi hivi
 
Hivi hao ving'ng'anizi hawataki kuamini kuwa tushawapiga makaburu na mamluki wao bao?
Subirini muone!
 
 

MMH! Hii kali Kubwajinga! Mugabe has no ambitions? Safeguarding the liberty of Zimbabweans!!!????
Incredible, alafu nyie mnapiga makelele kuhusuufisadi wa CCM?? Mnachekesha. Ufisadi wa Mugabe ni mara 1000 ya Kikwete na Lowassa! BEcause he has killed, maimed and tortured his people!
 
Human Rights abuses na killings za Midlands na Matabeleland tu mwaka 1982, achilia mbali hizi mpya, zilitosha kumpeleka Mugabe The Hague a long time ago.

Wamesahau...........
 
Foreign policy? What foreign policy?

A country's foreign policy is a set of goals that seeks to outline how that particular country will interact on an official basis with other countries of the world and, to a lesser extent, non-state actors

or

A government's policy relating to matters beyond its own jurisdiction: usually relations with other nations and international organisations; Used retrospectively, the sum of a leader or government's dealings and relations with other nations
 

The question was "What foreign policy?" not "What is foreign policy?"

The question was a Socratic one, rhetorical if you will, aimed at making the audience reflect on whether Tanzania really has a foreign policy.

I trust you now understand the question and are better equipped to contribute more after this provocative but introspective rhetoric question.
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba wewe unajua zaidi kinachotokea zimbabwe kuliko wazimbabwe wenyewe?
kwani hizo habari za kunyanyaswa watu huko zimbabwe unazoziongela wewe umezitoa wapi? tupe chanzo chako cha habari....au kwa kuwa wazungu hawajaandika basi hauamini?
wewe unamshtumu mbeki basi haujui lelote kuhusu huyu bwana hakuna kiogozi mwenye akili afrika kama Mbeki baada ya Isayas Afewerki, hivi unajua kama hakuna wakati ambapo uchumi wa AK umekuwa kwa kasi kama wakati wa mbeki?
usisikilize hao wazungu nenda bondeni ukaone kitu kinaitwa black middle class kwanza halafu ndio uje hapa uongee na sio kusikiliza wazungu wanavyokwambia na wewe unafwata mkumbo....
 
Yele uwii mungu masalie na mtume, sina la kusema......
 

wewe na weye kwa kujua kiingereza tuu hujambo manake hivi una shahada ya lugha ya kiingereza nini? manake naona kingereza chako kigumu kweli au unafanya makusudi ili baadhi yetu tusikuelewe? mbona unaandika kiingereze kigumu kuliko hata magazeti ya huko ulaya manake mengi yao nikisoma naelewa lkni wewe kingereza chako mhh sikipati kabisa... sasa usitake kutuacha wengine jaribu kuandika lugha rahisi....ni ombi tuu
 

Wengine watakataa, watasema siandiki kigumu sana ila wewe unasoma kirahisi sana.

Hivi kitu gani kigumu katika kutofautisha "What foreign policy?" na "What is foreign policy?"
 
Wengine watakataa, watasema siandiki kigumu sana ila wewe unasoma kirahisi sana.

Hivi kitu gani kigumu katika kutofautisha "What foreign policy?" na "What is foreign policy?"

usisahau kama wengi wetu tumesoma kingereza kama somo na baada ya hapo sekondari ndio kiingereza lkni mwalimu ilibidi aseme na kufundisha kiswahili ili tumuelewe.. kukumbusha tuu, vinginevyo puuzia kila kitu na endeleza kujibu/changia hoja za waungwana......
 

Ahsante,

Hata mie nimesoma hivyo hivyo na bado najifunza kaka, kwa hiyo tujifunze pamoja.
 

Zitto,
That is why I asked you to go and learn more about the Zimbabwean mayhem before discussing it. The expectations on you are high, though slowly fading away from some of us.

Mugabe was Knighted in 1994, did anyone at that time, talk about Matebeleland? Did anyone ask the Queen yesterday while taking off the knighthood, why was it given to him in the first place? Mugabe only became a dictator, despot, thug, tyranny, murderer e.t.c., after land redistribution took effect. A coincedence or a really backlash?

Mugabe might be wrong in some of his domestic politics, which is not unique from many other 3rd World countries, but the now popular global cry over Mugabe is not about Zimbabweans at all, it is about land, it is about getting rid of Mugabe, it is about punishing him and of course it is about putting an Abel Muzorewa type leader in power. After that, you will never see BBC be vehemently concerned about the wellbeing of Zimbabweans.
 

KJ,

Achana na Waingereza na hipocrisy yao.

From a purely African perspective, unakubali kwamba Mugabe anefanya grave atrocities? War crimes? Heinous acts bordering on genocide?

Unavyosema hapo juu inakuwa kama unaamini kuna sides mbili tu katika hii issue, Mugabe na Waingereza.Issue iko complex zaidi, kuna Wazimbabwe, kuna Mugabe na genge lake, kuna Waingereza na shoga zao wa magharibi na kuna Waafrika wa nchi nyingine.

Sasa basi, the fact that Waingereza ni wanafiki haiondoi ubaya wa Mugabe.Na si kweli kwamba kila Muafrika ambaye anataka Mugabe aondolewe anakubaliana na Waingereza.
 
Zitto,

..jielimishe zaidi kuhusu kilichopelekea mauaji ya Matebeland.

..pia jielimishe kuhusu hali ya kisiasa ya kusini mwa Afrika kipindi kile.

..wako Wazimbabwe wanaodai kwamba Watanzania wana mkono wao katika balaa lile.

NB:

..kuna habari za askari wa ZANU na ZAPU kupigana wakiwa ktk makambi Tanzania.
 

Dear Moshe Dayan,
I like the way you compare Mobutu and Mugabe.... Weren't the west ardent supporters Mobutu? ... do you not think Zimbabwe will go down the drain with Morgan and his western Support? Kama akina Mobutu? .. lets be frank an honest with ourselves, the west will only support leaders ready to rape and plunder their own land/people for the good of the west!..
 
Kikwete is a politician kama tunavyowajua, Kelele nyingi, PR kwa wingi.. dancing to the rhythm that is convenient.. Sio statesman.. Na mkutano huo wa Mbabane imewonyesha akina Kichaka na Gordon Gin kwamba yeye ni debe-la-kelele tupu lisilo na uzito... Kama foreign policy yetu kwa sasa (if it exists).....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…