LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Kila aina ya mavazi ina sehemu zake maalumu kuvaliwa. Kuna kituo kimoja maarufu cha tv watangazaji wake wamekuwa wakiingia studioni na mavazi ya kidini kuanzia kichwani hadi miguuni.
Je ni fasheni? Maana hicho kituo cha tv si cha kidini. Kuna kituo kingine maarufu watangazaji wake hawajawahi kuonekana wamevaa kidini ina maana huko kuna dressing code inayotakiwa na isiyotakiwa kuvaliwa?
Au kila kituo cha tv kina sera yake ya mavazi ya watangazaji wake kuvaa wawapo studioni?