BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Binadamu lazima afe,na viongozi ni wengi, na ajali ni nyingi,na ili kumuenzi kiongozi siku inapewa jina lake na watu wanapumzika kazi kiofisi hasa serikalini,na kila mwaka viongozi wanakufa.je unadhani siku kwa badae zikiwa nyingi haitaadhiri utendaji wa kazi na maendeleo kama elimu kivile.