Kila atakayeifunga Simba kusajiliwa?

Unajua Sarpong ilikuwa aende Simba na hata media za Rwanda zikaripoti hivyo? Simba wakalegea kidogo ili Yanga wamgombanie, na iwe platform nzuri ya Simba kumuona kama anafaa. Sasa tumeona hatufai, tunaangalia wengine kama wapo wapo
 
Unataka kusema Yanga ni ''feeder club'' ya Simba ?
WanaSimba ni wajeuri sana
 
Unataka kusema Yanga ni ''feeder club'' ya Simba ?
WanaSimba ni wajeuri sana
Mi nashangaa Yanga wa humu wanaipangia Simba mtu wa kusajili. Hata Morrison mwenyewe mimi sijutii kusajiliwa Simba maana licha ya kuleta mchango hafifu sana kwa Simba, lakini ameidisturb kwa kiwango kikubwa Yanga, nayo inasaidia kudhoofisha mpinzani wako wa karibu. Tusipangiane, tunabeba tunayedhani anatufaa, na tutamuacha tukipenda!
 
UD SONGO ya nchumbiji mkuu...
 
Hii imeandikwa wapi mkuu
 
Mbna sarpong ametufunga hatujamsajili m utopolo acheni mihemko
 
Mchezaji Ni mzuri na atatufaa.
Tuwaachie viongozi wanajua wanachokifanya.
 
Lile goli uliliona lakini au ulikuwa unacheza baikoko?
 
Kwani wewe umeajiriwa kuja JF kupinga pinga kila jambo linalofanywa na SIMBA, simba siyo Siasa ulizozoea kupingapinga. Hapa JF una Nyuzi kibaooooo zote Unapinga kila kinachoendelea ndani ya Simba, kama inakuuuma nenda Klabuni uongee nao siyo kila jambo kuwekwa mitandaoni. Huenda hata kadi ya Klabu hunaaa kazi ni kutunisha misuli tu.
 
Tumefungwa goli karibia tano ndani ya ligi kuu, niambie wamesajiliwa wangapi katika walio tufunga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…