Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Nimeona mtandaoni kwenye shamrashamra za yanga day nikakumbuka habari za awamu iliyopita.
Gerson Msigwa amekata mauno yanayoendana na Kangi Lugola.
Msigwa akiwa na kibukta chake ameshika kiuno akakata mauno. Hakuangalia umri wala hadhi yake.
Hongera Msigwa,hongera kwa mamlaka kumleta katibu anayeendana na wizara