Kila awamu haikosi mauno

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Nimeona mtandaoni kwenye shamrashamra za yanga day nikakumbuka habari za awamu iliyopita.
Gerson Msigwa amekata mauno yanayoendana na Kangi Lugola.

Msigwa akiwa na kibukta chake ameshika kiuno akakata mauno. Hakuangalia umri wala hadhi yake.

Hongera Msigwa,hongera kwa mamlaka kumleta katibu anayeendana na wizara
 
Endelea kujifanya upo siriaz. Maisha hayahitaji usiriaz kabisa
Kwakweli wazee wakate mauno maisha hayataki usiriaz ila mama aongeze wazee wa kuyakata kila idara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…