Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm.

Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo.

Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe udiwani,ubunge,waziri,raisi na wengine upenda kusema awamu iliyopita sijui ikufanya vizuri,sijui ilikuwa na matatizo,sijui ilipitia kipindi kigumu.

Sasa hizo awamu zote ilikuwa inashikiria chama gani wakati ni ccm.
 
Back
Top Bottom