Kila baada ya muda nahema mara moja kwa nguvu mithiri ya mtu aliyabana pumzi

Kila baada ya muda nahema mara moja kwa nguvu mithiri ya mtu aliyabana pumzi

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
494
Reaction score
856
Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu.

Hali hii pia huambatana na kama kizunguzungu ikiwa nikisimama sehemu moja kwa muda mrefu.

Hii hali ilishanitokea miaka minne iliyopita lakini ilipotea yenyewe na sasa naona inakuwa kwa kasi tofauti na hapo awali.

Tatizo linaweza kuwa nini? . Msaada tafadhali
 
Itakua una Angina ( chembe ya moyo) wahi hospital usije uka colapse..
Muone Cardiologist ( Daktari wa Moyo)
 
Kama Una low blood pressure

Ukipata marelia inaweza kutokea hali Kama hiyo hivyo jaribu kupima pressure na marelia
 
Back
Top Bottom