Onana na Janabi haraka sana. Mna jambo la kuzungumza nae.Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu..
Nenda Hospitali kubwa coz humu utakatishwa tamaa kama hivi:Tatizo linaweza kuwa nini? . Msaada tafadhali
Asante,niliwahi kupima mara ya kwanza ilikuwa imeshuka lakini baadae ikawa sawa. Kwahyo tangu kipindi nimepima miezi saba imepita