Kila binadamu amekula binadamu

Kila binadamu amekula binadamu

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Habari Jf

Tulipokuwa watoto tulinyonya fluids toka tumboni in the womb tulipozaliwa tulinyonya kimiminika lactogen ya binadamu toka kwenye matiti.

Kuna mwenye hoja zaidi tukizingatia binadamu haliwi?
 
Kwahiyo tumekula binadamu? au tumenyonya binadamu?.....Kwani kuna mtu kabisha hajawahi kunyonya?
 
Hata km ujala binadamu kwa kunyonyaaa kwa Maziwa bac mmekulana nyamaa kwa nyama nakugusanisha damuu
 
Habari Jf

Tulipokuwa watoto tulinyonya fluids toka tumboni in the womb tulipozaliwa tulinyonya kimiminika lactogen ya binadamu toka kwenye matiti.

Kuna mwenye hoja zaidi tukizingatia binadamu haliwi?
Unatako kusemaje? Kwamba wewe ulimla binadamu mama yako?
 
Mbona mkijichana kidogo sehemu za mwili mdomo unapofika mnapenda kujinyonya damu? Ina chumvi chumvi hivi.
Binadamu ni zombie tu,sema mila na tamaduni na dini.
 
Back
Top Bottom