Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
The more you know the less you need to say [emoji2]Kwahiyo tumekula binadamu? au tumenyonya binadamu?.....Kwani kuna mtu kabisha hajawahi kunyonya?
Unatako kusemaje? Kwamba wewe ulimla binadamu mama yako?Habari Jf
Tulipokuwa watoto tulinyonya fluids toka tumboni in the womb tulipozaliwa tulinyonya kimiminika lactogen ya binadamu toka kwenye matiti.
Kuna mwenye hoja zaidi tukizingatia binadamu haliwi?
Mnataka kusema nini?Hata km ujala binadamu kwa kunyonyaaa kwa Maziwa bac mmekulana nyamaa kwa nyama nakugusanisha damuu