Hivii jamanii kila chuo cha government diploma wanataka capacity ya watu 25 kwa vyuo vyenye competition kama kibaha jee unauhakika utapata nafasi bila kufuatilia?
Nachowashaurii walioaply afya diploma embuu jaribunii kuaply hata kozi zisizo na competition na hata vyuo vya government visivyo na competition sio lazima kila mtu CM wengine manurses dental mbona zipo wazi?
Sasa msije mkajilaumuu mkakaa tena kitaa nakusema wamenitosa wakatii mshahara niule ule na kada zilezile, mtakuja kujutia kwanini mliaply na kukaa kitaa na akilii kudumaa kisa unasubiria clinical medicine.