JOSEPH BANKWA
Member
- Jan 23, 2014
- 6
- 1
Naomba kuchukua nafasi kwa kusema kwamba kulingana na vyuo tunavyotoka kusema kweli kuna vyuo vina elimu ngumu,USHAURI ni kwamba kwa yule aneona hana msuli wa kutosha aombe kuelekezwa asije ishia kutemwa na chuo,make kuna vyuo havielewi maana y DISCONTINUE.