Kila cku lakini leo kazidisha

Kama umelishwa limbwata endelea kuwa na moyo mgumu.
 
in fact hastahili kupendwa coz hakutakiw kukacrika alitakiwa ajishtukie kwasabab amekudanganya na akuombe msamaha

yeye aliumbwa lakini neno nisamehe lilisahaulika kuwekwa kinywani mwake...hata akikosa yeye anadai me ndo mkosaji nimuombe msamaha
 
Shake well before use........aaaargh kumbe the content has expired already!!!!!!!

Tuuuuuuuuuuuuuupaaaa kuuleeeeeeeeeeeee
 
Ngoja nimsimulie mkasa huu dogo wangu wa Pre Standard 1 kisha nimpe Laptop akuchane live.

Maana inaelekea akili zako na JK au Peter P. M zipo sawa (Hamuwezi kufanya maamuzi magumu kila mara mpo kwenye mchakato)


Daaaah................mi nimeona hapo tu nilipobold.
 
Usijaliiiiiiii!!!!! huo ni upepo tu utapita.
 

nimekupata mtu mzma
 
Nipe namba yako ya simu ili na siye tumlipizie:glasses-nerdy:
 

kwa hisani ya watu wa marekani......
 
Pole sana mkuu. Kama umeinvest sana hapo ni wazi kuwa hilo ndo tatizo linalokusumbua juu ya hasara utakayoipata kwa kumtosa huyo kicheche!
 

ras wakambo
 
kuna mtu hapo juu kanifurahisha anasema sikuhizi mvua zinanyesha bila hata mawingu, labda nikuibie siri ya kuishi na mpenzi wako kwa mda mrefu, taratibu usimwambie jirani...never usimchunguze mpenzio kwa nyendo anazofanya, baada ya yeye kukwambia kata ungekata ukalala mpaka hapo atakapo kutafuta japo karoho kangekuwa kunakuuma lkn ni for the best' trust me usipomfuatilia sana mpenzio huta pata stree.. ila ikitaka kufuatilia tu, utalipata jibu, na litakuuma sna
 
tafuta usitaarabu mwingine maana mwenzako ameshashika njia yake
 
kaka hapo huna chako au wasubiri mpaka akusukume ubongo upate mtikisiko halafu ujifie???kama wasubiri hivyo nakushauri tu hakikisha unavaa helmet ukiwa unagombana nae.
 
sasa unataka aendelee kufanywa bushoke????ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…