Kila cku lakini leo kazidisha

Duuh! mkuu hapo hamna kitu tafuta alternative.
 
Tokea mlango ulioingilia mwenyewe kwa mapenzi yako kabla hujamtakiwa...
 
He he he he....hizi ndo faida na hasara ya simu za kisasa,mtu anaku'block anafanya shughuli zake tani yake,akimaliza anaku'unblock na kukuambia nilikuwa naongea na fulani anakusalimia,pole sana
 
hakuna cha kusaidiwa

chamsingi wewe tambua hujafikia vigezo vya manamume anayamtaka

kwa msaada jitahidi kufanya kazi kwa maarifa na juhudi ukishapata cash atarudi,sawa????
 
Huo ndoo utaratibu wa kawaida kwa dar hapa na mikoani wameanza sasa
 
kwani ile hesabu ya 1+1 jibu lake ni 11 au 2 au 1 ukipata jawabu changanya na zako....
 
Simu imesetiwa ionekane inatumika muda huo njemba jingine linafanya finishing, kuwa muangalifu utaambukizwa Ukimwi ndugu yangu, pole sana. Huyo hakupendi muogope kama ukoma asije akakukanumba bure.
 
Mi naona maswali mengine ni kutaka kujua nani mnoko humu jf, hivi kweli wewe hapo huoni kabisa kwamba hastahili kupendwa na wewe hata kidogo...
 
suio mpaka akwambie kakuchoka,ww chapa lapa mbona wapo wengiii tu hao sketi
 

kwa akili ya kitoto kabisa unaweza kutambua kuwa wewe ni spare tyre pole sana
 
Wanawake bwana..!! Temana nae mkuu, hajielewi huyo..!!!
 
mwenye macho haambiwi ona,, that aint blind love its stupid!!! forget and move on,,, utalia vibaya siku nyingine
 
Mapenzi yanaumiza zaidi ya kuchapwa...
Amin vile unavoamin wewe lakin ukweli utabaki palepale kuwa ulidanganywa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…