Umeona eeh. Haya mapenzi ambayo hayajawa halali ni ngumu kweli kusema nani anamchiti nani na nani anamwibia nani. Huyo anayezungumza nae masaa manne aweza kuwa nae anajiona mmiliki halali.
Mimi kwa formular yangu ilikuwa bila ndoa kila mmoja yuko free as molecule in air; ndo maana watu penzi likiwakolea wanaamua kutangaza nia ili wawe wamiliki kisheria wenye uwezo hata wa kulida mali zao kwa mtutu.
Ping request timedout..TTL 89999999156ms
Hadi ukutane na manyoya ndo utajua kaliwa?...next time ukikutana na vitu kama hivyo just take action usisubiri kutuuliza piga chini