Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Umemaliza kazi. Asante!CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua.
Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia.
Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua.
CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua zaidi.
CHADEMA wakishiriki uchaguzi ni hatua na wakisema No reforms No election kwao ni hatua pia.
CHADEMA wakiwa wengi ni hatua na wakiwa wachache ni ishara kwao kuwa hiyo ni hatua.
Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
CHADEMA kuwa na wachaga hiyo ni hatua!Chama kikishakuwa na wachaga ujue hamna chama hapo
Opportunistic tribeCHADEMA kuwa na wachaga hiyo ni hatua!
Its an opportunity to CHADEMA!!Opportunistic tribe
CHADEMA ni MAJICHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua.
Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia.
Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua.
CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua zaidi.
CHADEMA wakishiriki uchaguzi ni hatua na wakisema No reforms No election kwao ni hatua pia.
CHADEMA wakiwa wengi ni hatua na wakiwa wachache ni ishara kwao kuwa hiyo ni hatua.
Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
Tuliwaambia Heche na Tundu hawana uwezo wa uongozi kwa vile wote ni vichaa tu.CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua.
Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia.
Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua.
CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua zaidi.
CHADEMA wakishiriki uchaguzi ni hatua na wakisema No reforms No election kwao ni hatua pia.
CHADEMA wakiwa wengi ni hatua na wakiwa wachache ni ishara kwao kuwa hiyo ni hatua.
Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
Haya maelezo uliyoyaandika nayo ni hatua kwa CHADEMA!!Tuliwaambia Heche na Tundu hawana uwezo wa uongozi kwa vile wote ni vichaa tu.
Ushindi Januari 2025, Mwezi Machi Mwenyekiti anaropoka maneno yanayoashiria uhaini na kisha akamatwa na kutupwa ndani.
Mwezi Mei, Makamu anakataa kusaino kanuni za maadili na automatically CHADEMA inajitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi
Uongozi ni karama siyo kama matako, kila mmoja anayo
Hili wazo butu ulilotoa nalo pia ni hatua kwa CHADEMA!!Hatua za kurudi nyuma labda
CHADEMA ilikwishakufa, labda mmebakiza kugawana mbao tuHaya maelezo uliyoyaandika nayo ni hatua kwa CHADEMA!!
Wewe kuwa na wazo kuwa wapo wanachadema watakaogawana mbao pia ni hatua kwa CHADEMA!CHADEMA ilikwishakufa, labda mmebakiza kugawana mbao tu